⚠️ Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho
🧒
Art. 136
Uchaguzi wa Rais
Rais huchaguliwa na wapiga kura wote katika uchaguzi wa kitaifa.Art. 136(1)
(1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa
utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge
inayothibiti uchaguzi wa Rais.